Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Jamani rafiki ndio umeandika kinyakyusa au?
Za kupotea? Miss you.
Hata mimi nimekumisimo sana. Shemeji hapo kwenye panya ndipo palipo nitatiza.Yaani panya huyu huyu asiye jua kulipa kodi kwenye nyumba anazo lala au panya wa kwenye rodi (panya rodi)?
Nipo shemeji,mambo mengi yana bana
 
Huyo panya Shunie ndio anamjua maana ameshakula vitu vyangu vingi tu. Kwahiyo usihofu shemeji.

Kwani shemeji unajificha wapi? Na ulivyobadilika sura kidogo nikusahau. Nilishamzoea yule sijui ni samaki
 
Nilivyo anza uvivu wa kunywa maji nikaamua nimtoe.Sikutaka kwenda kukaa sana kule kusubiria ....utoke kwa ajili ya vipimo
 
Back
Top Bottom