Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Yaani ukiweka pesa hata siwazi mara mbili nahama fasta, mtabaki mnasema mie nakula tu. Kujitia uzalendo wakati alikufa nao Karume sitaki mimi.

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa my ribs !Ee Tanzania yangu
 
Aaaaah kwakweli, hivi ule wimbo aloutunga aliwaza nini? Eti nilalapo nakuota wewe!! Chaaah!

hahahaa alikua nabii nadhan!maana si kwa mapenzi haya jaman !sijui ndo alitunga babake nape naskia?
naipenda Tanzania jaman !sitaman ht kutoka nje ya tz maisha yangu yooote !angalia tulivyo na demokrasia nzuri ,ustawi wa jamii mubashara!awwww Tanzania weee
 
Hahahaaaaaa!!!
Mie niko nje ya nchi huku chato. Kwani we uko bado TZ?
 
Sijaribiwi ujue!! Ohooooo!!

Nalendwa nae asijifanye akesahau, aliniahidi heels na akasema atanifundisha kuvitembelea. Ila mwaka wa nne huu naona atakuwa anajiandaa kuniletea meli nzima.

hhhahahahhh !nimecheka ghafla jaman !hahahha oh we ndo unavaaga wedges tu!! nimekumbuka !ngj nizisake !nipo na baby ben ten boy beira wangu mie nala maraha
 
Back
Top Bottom