Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi si uliniambia tabia mbaya haujaanza!!!Hahaha
Ongea taratibu basi aunt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi si uliniambia tabia mbaya haujaanza!!!Hahaha
Ongea taratibu basi aunt
Ndio sijaanza mie kweli auntie...Hivi si uliniambia tabia mbaya haujaanza!!!
Oooh kumbe!!! Basi sawa mama.Ndio sijaanza mie kweli auntie...
AsanteOooh kumbe!!! Basi sawa mama.
Kaoneeee!!!Asante
Dunia Hii wa kunificha zaidi yako hakuna..Wengine wanajaribu tuKwahiyo baada ya sikukuu ndio unajitokeza!!!
Huyo anaekuficha hivyo nani?
Huoni aibu kunidanganya na uzee huu!!!Dunia Hii wa kunificha zaidi yako hakuna..Wengine wanajaribu tu
Ndo ukweli huo..Kudanganya nilishaachagaHuoni aibu kunidanganya na uzee huu!!!
Kweli umezeeka, sasa una mipango gani maana uzee ndio huu.Ndo ukweli huo..Kudanganya nilishaachaga
Mbona umekomalia swala la uzee..Unataka nini we mwanamke?Kweli umezeeka, sasa una mipango gani maana uzee ndio huu.
Usijifanye haujui ninachotaka mpenzi.Mbona umekomalia swala la uzee..Unataka nini we mwanamke?
Tatizo aunt huwa huniamini kabisaa....Kaoneeee!!!
Niliona uko michepukoni hivyo nisikuvurugie.
Uncle nani huyo?Nisamehe Mimi aunt... Nilikuwa nakuonyeshea huyo anko mwingine hapo juu
Aah wapi,Niliona uko michepukoni hivyo nisikuvurugie.
KaboomUncle nani huyo?