Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Happy birthday mama mchungaji Yesu azidi kukutunza tuuu shunie anakupenda sana
 
Hey Sister,

Najua hunifahamu hata kidogo. Na kwa sasa nisingependa unifahamu. Ila ukiiona hii sentensi huenda ukapata walau picha 'HATA SASA MUNGU ANAKUTENDEA" .

You're one in a Billion. You're so kind. Kila kitu kinaweza kuwa fake JF. Ila kitu kimoja nilicho na uhakika nacho ni kuwa jina lako linasadifu yaliyomo. Wewe umetumwa kutoka Mbinguni kwa ajili ya watu wengine, mimi nikiwa mmoja wao.

HS,
Kwa leo ifurahie siku yako ya kuzaliwa, na tumuombee Mzee wetu aendelee kupumzika kwa amani. Mungu alimpa uwezo wa kumleta mtoto duniani, ambaye kwa hakika amekuwa msaada kwa sehemu kubwa ya watu.
Mungu akuhalie moyo huo huo wa kipekee.

Ipo siku nitaleta uzi kukuhusu. Na kichwa kinaweza kuwa kama ambavyo nimekiandika hapo juu. Inaweza isiwe mwaka huu au mwaka ujao, ila kwa hakika nitafanya hivyo kabla ya siku zangu kuisha.

Enjoy Sisy F 🥰
Heaven Sent
Hey; what a surprise? How have you been jamani? So relieved to hear from you
 
I'm good mpendwa!. Kule nilisahau login credentials and I had to opt for this.

Want to know my progress?
Bado mambo hayajatiki lakini walau nashiba, napendeza na kuwasaidia wengine kidogo.

Ubarikiwe mama.
That's enough ..... See you; full of gratitude no matter what

Mungu ni mwema; kila kitu kitakaa sawa mdogo angu. It is well
 
Back
Top Bottom