Happy Birthday Humphrey Polepole

huyu polepole siyo mpiganaji.ndani ya ccm Kuna uasi mkubwa dhidi yake
 
Hivi POLEPOLE ana umri wa miaka mingapi?
 
Chakubanga tangu lini akawa mahiri? Labda mahiri kwa mabashite!! Acheni kuhusisha neno mahiri na watu wa ajabu ajabu. Dah!

Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
 
Tuambie alizaliwa lini mana mna wa kuambia watu happy birthday na wamezeeka suraa hovyo kisa ukuda
 
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Lini polepole akawa comrade wa ccm au ni mme wako?
 
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Huyu ndugu amefikisha miaka mingapi? Sura yake hainoshi kama ni mzee au kijana!
 
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.

Afadhali kaka ututoe dukuduku, hivi kafikisha miaka mingapi?, huku mtaani kuna mabishano makubwa, wengine wanasema Babu wengine kijana
 
Akafie mbele huko, hawa ndio waratibu wakubwa wa mashambulio ya wanasiasa wa upinzani, hawa neno utu kwao ni kama mbingu na ardhi, hivyo hawapaswi kutakiwa heri zaidi ya shari

Kumbe mnaVisasi Hivi.. Sasa Naanza kuelewa kwanini Rais Magufuli anawanyoosha
 
Mnafiki wa katiba mpya kumbe ilikuwa njaa yake tu. Hakafai kabisa kale ndiko kalikomponza mzee akachapwa kibao na shite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…