Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Mheshimiwa, ..Unaijua maana ya Hon au ushabiki dhidi ya mtu huyo ndio unakusumbua?
Tuambie alizaliwa lini mana mna wa kuambia watu happy birthday na wamezeeka suraa hovyo kisa ukudaWadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Lini polepole akawa comrade wa ccm au ni mme wako?Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Huyu ndugu amefikisha miaka mingapi? Sura yake hainoshi kama ni mzee au kijana!Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Akafie mbele huko, hawa ndio waratibu wakubwa wa mashambulio ya wanasiasa wa upinzani, hawa neno utu kwao ni kama mbingu na ardhi, hivyo hawapaswi kutakiwa heri zaidi ya shari
Both!