chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Amezaliwa?Wadau,
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.
Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Hivi waandishi wa habari wa kibongo uwa hawafikiri kumuuliza hilo swali kwenye public press zake?Mkumbusheni rasimu ya Warioba
Pole pole huo uheshimiwa kautoa wapi?!Mheshimiwa, ..
Sura ya miaka 90 hajulikani babu au bibiWadau,