Happy Birthday Humphrey Polepole

Happy Birthday Humphrey Polepole

Kuna swali liliulizwa sana katika huu uzi. Lakini halikupata majibu.. ina maana hakuna kabisa anayejua umri wa huyu mbunge wa viti maalum?? Amezaliwa lini na wapi?
 
Hivi huyu jamaa huwa ni kijana au Mzee na mbona hafanani na Wabena wenzie? Vipi mbona utadhani anaishi makambako wakati yupo kwenue full Ac ngozi haibadiliki?
 
Back
Top Bottom