Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

Siku,mwezi,mwaka na hatimae miaka sasa tangu uone sayari hii ya dunia. Ni jambo la kumshukuru Mungu amekuvusha kwa mengi mpaka kufikia siku yaleo unapoadhimisha kuzaliwa kwako rafiki yetu mpendwa.Kwaniaba ya The Golden group tunapenda kukwambia.Smile while you still have teeth. Many many happy returns of the day'

makoyo njoo utupe venue... Mr Rocky kitengo cha usafiri hope unakisimamia vema... miss chagga hiyo michango fanya haraka kuiwasilisha maandalizi yamebamba... Munkari hakikisha nyama za kutosha zipo... mshana jr simamia vinywaji vyote viwepo twafazali.. ladyfurahia white isikosekane ukumbini tafwazali.. Angelicious & charty msosi uwe on time

Wageni wote waalikwa sherehe rasmi itafunguliwa saa kumi na moja.

Karibu wote bila kukosa
Mumwaaa
IMG-20170601-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom