Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Mungu alificha sura yake Mana alijua Kuna Ng'ombe zingejimilikisha na kuchonga vitu vya kumfanania ili wawababue magong'ole Kama wanavyo wababua toka kitambo.Kuna watu hiyo picha ukiifanyia mzaha wanasema unatania Mungu na kwamba eti utapata laana / matatizo.
Na unakuta nj mtu mzima na familia yake anaamini huo upuuzi.
Tuna safari ndefu sana