Happy Birthday In advance kwa Baby Boy wetu

Kuna watu hiyo picha ukiifanyia mzaha wanasema unatania Mungu na kwamba eti utapata laana / matatizo.
Na unakuta nj mtu mzima na familia yake anaamini huo upuuzi.
Tuna safari ndefu sana
Mungu alificha sura yake Mana alijua Kuna Ng'ombe zingejimilikisha na kuchonga vitu vya kumfanania ili wawababue magong'ole Kama wanavyo wababua toka kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…