Happy birthday jannelle

Happy birthday jannelle

Duh wewe huyu [emoji8]
Happy birthday to you
JamiiForums-807288195.jpg
 
Zaidi ya birthday, kuna kingine nimekiona umekuja kutulingishia humu....[emoji39][emoji39][emoji39]
Na kumbe ndio sasa nimegundua kwanini unaamini kwamba hakuna mwanaume ambae hapelekeshwi na mwanamke...[emoji23][emoji23].
Anyway, nitakutafuta sasa uniuzie frame ya muwani...[emoji6][emoji6]
 
I am very thankful and grateful to the Almighty for granting me yet another year. I pray for an abundance of grace in my world.

Tho dirisha la kupokea zawadi lipo wazi[emoji1787][emoji1751][emoji1751]

View attachment 1564031
Hapa zawadi lazima utoe,nipe namba binti nikutumie kazawadi, kwa hii picha huwezi kuwa na bday kavu kavu aisee
 
Back
Top Bottom