Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

Kama unaijua vzr HIP HOP huwezi kusema Jay Z ndio msanii wa Hip hop kuwahi kutokea Duniani,

Anyway,

Happy birthday Jigger.
 
haya jigga happy birthday, ila ukisema ni mc bingwa kupata kutokea duniani watu hiphop watakubishia, wao wanawatajaga sana wakina Tupac na Nas, wakati wazungu wanamtajaga Eminem

Mbona hata Juma Nature anamzidi tu au kwa vile kazaliwa Marekani?
 
haya jigga happy birthday, ila ukisema ni mc bingwa kupata kutokea duniani watu hiphop watakubishia, wao wanawatajaga sana wakina Tupac na Nas, wakati wazungu wanamtajaga Eminem

Eminem anakubalika hata na weusi,
Maana ni mzungu wa (kwanza) kuichukia rangi nyeupe na kuipenda nyeusi.
 
Best of all time? Big no

Just lean back and watch man.. That nigga is on some way to 'that future'.. You probably need to listen to more of his works... From Section 80 up to TPAB... It's Hiii Power.
 
I know enough about it. In what sense of Hip-hop are KRS and Rah more into it than Jigga? Open up please.

basing on one pillar(mceeing/rapping),rah and krs put street struggle on wax better than him,all jigga talks about is how much cash he stacks,pus**ies he f!cks,gunz he busts..he is too much of commercial.
 
Kuna lebo flan jigga aliwahi kufanya nayo kazi zamanii wakaja kusema wao ndo wamemtengeneza jigga

jay z alichowajibu sasa

"Can you please made another Hov"

Happy Birthday Hov
 
basing on one pillar(mceeing/rapping),rah and krs put street struggle on wax better than him,all jigga talks about is how much cash he stacks,pus**ies he f!cks,gunz he busts..he is too much of commercial.

What's Emceeing, and what's rapping? Little heads up, they ain't the same thing. And how you gon' separate the streets from what you say Jigga's all about? What's street's struggle's like?
 
Happy birthday usingizi WA Beyonc? Knowles me napenda empire state of mind run this town na talk that talk alioshirikishwa na Rihanna
Beyonce na Jiga ni moja ya couple zinazopendeza zaidi, na ukitaka uwafurahie itazame video ya 03 Bonnie & Clyde

 
haya jigga happy birthday, ila ukisema ni mc bingwa kupata kutokea duniani watu hiphop watakubishia, wao wanawatajaga sana wakina Tupac na Nas, wakati wazungu wanamtajaga Eminem

Watapinga tu bila facts ila tunaosema Jigga ni the best tuna cha kulinda tunayosema.
 
usemavo ndo msanii mkali kuwahi tokea umetumia vigezo gani???? ushabiki maandazi huo.

Acha hizo nigga tunajua tunachokizungumza. Pinga wewe kwa vigezo, alafu hapa sijazungumzia msanii Jigga sio just msanii ni zaidi ya hapo.
 
wewe unaijua hiphop kweli?sema mc mkali kwako na sio kuwahi kutokea
hebu nikupe clue...between KRS ONE and RAKIM bado haijawa settled who is the best of them all hiphop headz..

Rakim Allah na KRS 1 ni wakali ila sioni walichomzidi Jigga maybe misimamo mikali ya kanuni za hiphop ambayo Jigga hajawai kutoka umo... Ila Jigga kaenda mbali zaidi ya kurap, kufreestyle na kukeep it gangstar....Jigga ni mjasiriamali na ameweza kupalilia kitu kipya kwenye utamaduni wa hiphop kiasi kwamba hiphop imekuwa na nguzo mpya ya entrepreneurshp ambapo sasa kila rapa na mc anataka kuwa CEO from zero. Jigga ameweza kuwakilisha hiphop kizazi cha juzi, jana na leo na kila kizazi kinamuelewa sana...Utamfananisha na nani?
 

Nini haswa so special kwa KRS? bora ungeniambia Rakim...KRS mimi namuona kama ni rapa mwenye stress ndio maana anakaa kudiss maMcc wapya kwenye game sababu mzee amekata pumzi na hataki kukubali muda wake umekwisha. Nani alimteua kuwa Ticha wa hiphp? stress mzee zinamsumbua, ni mkali ila anatakiwa watu wakubali kuwa yeye ni mkali si kutumia nguvu nyingi kutaka tuamini hivyo.
 
Mc mkali kuliko wote hata ukimuuliza jigga mwenyewe ni Notorious BIG. Basi. Naona unamfagilia sana huyu mwabudu shetani
 

whts a mob to a king,whats a king to a god, whats a god to a no believer?,who dont believe anything?.... ngoma kali sana hiyo japo dizain kama wanamdiss sir God.
 

Everybody's like,"He's no item! Please don't like him.He don't wife 'em, he one nights 'em!" .... hahagh alafu kuna watu wanasema kwa vigezo gani!.. huyu jamaa anajua jamani tuache utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…