Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kasome kitabu cha *The Art of Emceeing" cha Stic.man (Dead prez). utapata majibu yako yote bro.
kipo tu mtandaoni, you can read it.
Ntakitafuta nikikosa majibu sahihi ntakuomba uyajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome kitabu cha *The Art of Emceeing" cha Stic.man (Dead prez). utapata majibu yako yote bro.
kipo tu mtandaoni, you can read it.
Taja msingi wa Hip-hop ambao Jay-Z hawakilishi.
What's flows, to you?
Rakim? Tupac? KRS One? Cube? Nas? Wakali wa freestyle? I get a feeling unataja majina ili kumtisha jamaa, but you clearly have no idea.
Big L na Jigga kuna freestyle wako pamoja early 90s, niliwahi kuiweka jukwaa la "Entertainment" kama unaweza kuipata. Nimeshindwa kui-upload hapa, ila yeyote anaweza kuingia Youtube akaitafuta (Big L and Jay Z). Msisahau kuleta feedback please.
Masta Ace? Tafuta diss track yake inaitwa "aknowledge". Ameachia feelings zake humo baada ya kuvurugwa na jamaa wa kawaida tu kwenye freestyle (Boogey-man). Ka-panick mpaka aibu, anaongea vitu vya ajabu tu. If it's trouble much, I can analyze that track for you.
Mtoe Tupac. Nobody, and I mean nobody ever talked about struggles, ukombozi, n.k. kati ya hao uliowataja better than Jay. Chagua yeyote uliyemtaja kati ya hao, halafu tuchambue mistari yao kwenye field yoyote uliyotaja hapo.
Andre 3000 got more cred than Jay?? Hahaha, usiamini kila unachosoma google.
Jay-Z sio greatest rapper, true. Ila uhitaji zaidi wa Hip-hop ndio upi?
Beyonce na Jiga ni moja ya couple zinazopendeza zaidi, na ukitaka uwafurahie itazame video ya 03 Bonnie & Clyde
![]()
?
1. soma kwanza post Vizuri ndo uje na majibu, kwenye free-styles, nmewataja, Lil snupe, Big L, Biggie Smalls na Em, na nikasema hao heads wengine niliowataja hawawafikii hao watu wa 4 kwa free-styles, Sijui ambacho hukuelewa ni kipi..So kama unadispute ishu ya kwamba Em, Big L, Lil snupe na Biggie ni zaid ya Jigga katika Free-style, Aisee utakuwa unachekesha.
2. hahahaha, Nig, Umefikia huko? nipe tracks za Jay Z ambazo aliongea kwa kina zaid kuhusu Stuggles (how to overcome them) and Ukombozi (katika nyanja tofauti).. nahitaji songs (najua anazo) and not bars, then me nitakupa za hao niliowataja..afu tutachambua zipi zipo deep zaidi. (nipo tayari kwa hilo).
3.sijagoogle, na ndo maana nimemweka Andre 3000 humu, ningekuwa nimegoogle, bila shaka nisingemweka kabisa, coz ningeonekana nafata mkumbo..na ndiyo maana hapo Juu kabisa kwenye free-style nikamweka dogo Snupe, kama ningegoogle ningeishia kuwaweka kina Big L na Em tu katika upande wa free-style..
4. Flows (Rythms and Rhymes), most of people on here ukiwauliza nini maana ya flows watakwambia ni jinsi/uwezo wa kufanya ryhmes zifit/blend na beats husika/tofauti..no wonder bongo hapa utaambiwa Joh Makini ni King of flows (lol), and hii definition ndo inayofanya matumbo am-label Jay Z kama King of all flows (which katika broad sense ya Hip-Hop yupp wrong), flows katika Hip-Hop Music ni zaid ya *just Rythms and Rymes, Hip-Hop flows goes with a set of complex and analytical *rymes amabazo ni lazma ziende sambamba na kuform maana halisi ya kile kinachokusudiwa, thats Hii set ya Complex rymes lazima itoe mlolongo halisi wa kile ambacho rapper anakizungumzia, now ubora wa Emcees unakujaje katika flows? ni pale ambapo rapper husika anaweza kutembea/vocalize any set of rhythms kwa kutumia/Spit them complex rhymes amabazo hukuwahi kufikiria, kwa mpangilio ambao utaleta maana halisi..And kwenye hiyo Case nadhan Eminem hana mpinzan, then kuna Biggie Smalls, na pia unaweza ukamsikiliza Tech N9ne (utaelewa zaidi)..katika Hip-Hop, flows goes with Complex rymes, i mean throwing Complex things together na maana halisi ikaonekana, siyo tu kuspit juu ya beats ili kublend na hiyo beat..and kuwa dynamic katika beats tofauti hakufanyi tukuite "king of all flows"..maybe sielewi maana halisi ya Flows katika HIP-HOP, and lazima tuelewe kuwa katika Hip-Hop, flows ni Art..kuthrow complex and well analytical, creative lyrics kwa pamoja na bado ukabaki katika base/orgin yako siyo kitu kidogo..kuna some Independent Emcee ambao ni ill katika flows, nikiwataja hapa tutachanganya zaidi.
5. Emceeing, Hip-Hop inatembea zaid katika hii nguzo, hakuna anayedspute kuwa Jay Z siyo Emcee/rapper mzuri, but unapoongolea maana halisi ya Emceeing katika Hip-Hop, Jay z hawez kuwa bora zaid ya Rakim (never)..
Nyongeza.
1. Em, ni free-styler mzuri zaid ya Jay Z, Em ni Muandishi mzuri zaid ya Jay Z, Em ni mzuri zaid katia art of rapping/flows zaid ya Jay Z, Em ni EMCEE/rapper bora zaid ya Jay Z.. na kama una fact za kudispute hii kitu, leta facts tuzijadili.
2. Big L ni free-styler bora zaid ya Jay Z...
1. Tunarudia yale yale. Nimekuambia Big L na Jay wana freestyle walifanya pamoja, na Jay ali-own, umeamua kujitoa ufahamu. Sio kesi.
2. Open letter. 99 problems. Hardknock life. On to the next one. Izzo. Empire State of mind. Dirt off your shoulder. Died in your arms tonight. Et cetere et cetera. I could break them down moja baada ya nyingine pia kama huoni anachozungumza.
3. Nobody in their right state of mind will ever rate Andre higher than Jay. Only a sore critic soul on the net. Let's not kid ourselves here, that's the stuff you read from a struggling blog.
4. No need to go all that technical and complicate stuff. Flow ni uwezo wa kunata na beat, cheza na maneno, na kuleta maana. Big is credited to be the King of flows, but he had a lotta flaws in his game. He could kill the beat, play with words, ila mara nyingi alikuwa anajichanganya. Check this out...
I been in this game for years, it made me a animal/
It's rules to this sh!t, I wrote me a manual
Step by step, booklet for you to get/
Your game on track, not your weed pushes back/
What the eff was he saying? Did he write himself a manual, or he wrote a manual?
Was it weed's, or crack's?
rule nombre uno
Now that's embarrassing. Nombre??
number 9 shoulda been number one to me
Na alituambia it's the manual he wrote himself.
Hayo ni machache tu, ukisikiliza kwa makini anachosema Big na wengine wengi unaodhani ni wakali, utaona jinsi wanavyojikanyaga na kutoleta maana. Just pay a little attention.
5. Emceeing is moving and controlling the crowd. That's Rakim's own definition. Now, how does one move the crowd? Let's go scientifically kuondoa mapenzi binafsi. Numbers ndio kigezo bora. Numbers za mauzo, numbers kwenye show, numbers kwenye game, number ya mashabiki.
Jay-Z ameuza nakala nyingi zaidi kuliko Rakim. Better deliverance.
Jay-Z amefanya shows nyingi na kubwa zaidi kuliko Rakim.
Jay-Z amekuwa kwenye game na katika ubora kwa muda mrefu zaidi kuliko Rakim. Consistency.
Jay-Z amefanya mabadiliko makubwa sana kwenye game kuliko Rakim. Jay ameipa rap hadhi. "Show 'em how to move in a room full of vultures". Roc Nation, Tidal.
Jay-Z ame-inspire na ana-inspire wengi zaidi kwenye game kuliko Rakim. Drake, Kanye, you name them.
Jay-Z ana mashabiki wengi kuliko Rakim. Numbers can't lie, right?
Jay-Z ana kazi nyingi za rap kuliko Rakim.
Jay-Z anaheshimika zaid kuliko Rakim. Who had Oprah in the project's steps?
Iko hivi. From a technical perspective, Rakim is waay greater. Even Kanye is greater than Jay. Ila in a Hip-hop sense, Jay is the most valuable.
Hip-hop ilianzishwa kwa nia kumkomboa mtu mweusi kutoka kwenye ujinga, umasikini, unyanyasaji, uhalifu, na maovu yote. Nyakati zimebadilika. Struggles pia zimebadilika, na namna ya kuzi-address na kuzi-overcome inabadilika pia.
Jay-Z ametokea kwenye umasikini. Kauza sana dawa za kulevya. Kapitia vikwazo vyote kwenye game wakati alipoamua kuachana na uhalifu. Kafanikiwa leo yuko on top. And he's been telling us his struggles karibia kwenye kila ngoma.
I was raised in the projects, roaches and rats/
Smokers out back, selling they mama's sofa/
Lookouts on the corner, focused on the ave/
Ladies in the window, focused on the kinfolk/
Me under my lamp post, why I got my hands closed?
Crack's in my palm, watching the long arm of the law/
So you know I seen it all before/
I seen hoop dreams deflate, like a true Fiend's weight/
To try and to fail, 2 things I hate/
Succeed, and this rap game, 2 things that's great/
H to the Izzo, V to the Izzay/
What else can I say about dude? I get bus-ay/
How does it get more Hip-hop than that?? Please help me understand
Je, Rakim Allah na Jigga wote wapo mainstream au mmoja mainstream na mwingine underground!?
Oh boy! Naona tutakesha hapa.lol, so Emceeing, maana yake katika broad sense ya Hip-Hop ni "kumove na kucontrol the crowd tu?"
and here tunaongelea nini? greatest Emcee of all time AU most Valuable Emcee of all time? na nipe tofauti za hizo criteria mbili ili tumalize mjadala..
lol, hapo number 2, USICHUKUE KILA KITU UNACHOKIONA KWENYE INTERNET, jaribu kumsikiliza Jay Z, yupo zaidi ya unavyomdhania kwenye huu upande (na hii ndo sababu inayofanya nisiwe nabishana na Jay Z fans,)
nmetoa broad definition ya flows, ili kukwepa kile ambacho umekileta hapa.
lastly, kufunga huu mjadala, nambie tofaut y GREATEST EMCEE na VALUABLE EMCEE, na hapa hapa tulikuwa tulikuwa tunadiscuss nadharia ipi..
Rakim siyo Mainstream.
Basi ndio maana hayupo "kimauzo" kama ambavyo Paulo Sergio De Souz anavyosema Jay Z yupo.
Oh boy! Naona tutakesha hapa.
I sincerely believe hujawahi kuelewa neither Jay-Z nor Rakim, wanachozungumzia kwenye nyimbo zao. Na since huelewi wanachosema, natumia energy nyingi zaidi kujaribu ku-reason.
Prove me wrong, please. Chukua track moja tu ya choice yako kutoka kwa Rakim, (or even Jay-Z) and walk me through hizo points zako zote. If you do that correctly, I will apologize for doubting your cred. And I will do the same + answer all your questions.
maana ya mainstream ni nini?
Maana ya mainstream ni nini?
lol, point ya msingi hapa ni ipi? ts not about kitu ambacho hawa watu wanadeliver, ts about who's the greatest Emcee of all time,
na usiruke maswali, coz what defines "greatest Emcee" siyo hizo citeria za Jay Z ulizonipa kwenye post yako..
kutoka kwako nataka kujua Utofauti wa Greatest Emcees na Valuable Emcees, na kwa uelewa wako kati ya Jay Z na Rakim nani anafaa kuitwa Greatest Emcee au Valuable Emcee..
ukinijibu hayo maswali, ntaachana na huu mjadala..
Hata hili ambalo lipo wazi unataka mjadala masta!?
A good debate is one you can learn from. Na hapa unazidi kunikatisha tamaa ya kuendelea na hii debate. If it's not about what they deliver, then what in the world is it about?? Tunawa-judge vipi if it's not for the stuff they deliver?
lol....
Hata hili ambalo lipo wazi unataka mjadala masta!?
Ugumu uko wapi wakuu? Nijibuni maana ya mainstream rap, halafu nitawaambia who's mainstream, who's not.