Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

Mengi tu wamefanya siwezi sema yote ila kwafaida ya watu wote hapa nitanukuu baadhi ya maneno ya Nas ambayo kwakiasi kikubwa inaakisi kile anachosimamia na kwa maoni yangu hivi ndivyo Hip Hop inapaswa kuwa. Nas yeye anatukumbusha mambo yamsingi sana kuhusu Hip Hop na nguvu inayoweza kuundwa na kuitete jamii kama misingi ya Hip Hop itafuatwa. Nas aliongea ukweli huu wakati anarelease studio album Hip Hop is dead. Nakukumbisha wewe ndugu......jamii inataka mtu aseme kweli na tukimwangalia matendo yake na maneno yake tujue kweli huyu yupo upande wetu na anapigania misingi. Jaribu kufuatilia project wanazofanya Nas na Damian Gong Jr Marley unafahamu zaidi.......

Kama kuna mtu anayesema na kutomaanisha, Nas yupo juu. Kwenye Just a moment, Nas alisema And I promise through rhymes, Quan gon' rep his life to the fullest. I don't really know what happened, but Quan never rep'd sh!t. Why did Nas promise? In Hip-hop, word is bond. How many times has Nas gave his, and not live to it? One too many.

Remember when he said..You wanna ball till you fall, I can help you with that? Fast forward to when the ex-wife took him to court, struggling to pay his own child's support. How can one help others do what he can't?

Didn't Nas say all kinda nasty sh!t about Jay, and ended up working under him?

That's why I said it once, and I'll say it again. I don't respect Nas cuz he's not about his words. And he's a phony.

Pia unasema nirudi shule kuhusu "kiingereza changu" hapa utakuwa na tatizo kubwa kwasababu haikuwa nia yangu kujinadi nani anajua kiingereza zaidi. Au wewe mentality yako inakuongoza hivyo kuwa kujua kugha ya kigheni zaidi hata ya wenye lugha ni fahari. Hapa umeniangusha sikuelewi na sitokaa nikuelewe.[/i]

Hahaha. Ungejibu swali tu. Hizo mboyoyo nyingine, unajaribu ku-twist stuff to win sympathy.

Sasa msome Nas katika haya aliyosema kuhusu na ufuatilie kwa karibu kabisa alichoandika Krs One katika buku lake lenye pages zaidi ya 800 The Gospal of Hip Hop. Ukweli utasimama hata muupinge na kujiona bora kuliko Hip Hop yenyewe.

Haha. Nyie jamaa bana. Mwenzio mikwara yake ilikuwa kutaja kina Masta Ace, sijui Snupe, Rakim. Wewe umeamua kuja na mikwara ya pages 800. Well, it's a nice trick, except it don't faze me. Facts always work, not politics.

"When I say 'hip-hop is dead', basically America is dead. There is no political voice. Music is dead ... Our way of thinking is dead, our commerce is dead. Everything in this society has been done. It's like a slingshot, where you throw the muthafucka back and it starts losing speed and is about to fall down. That's where we are as a country ... what I mean by 'hip-hop is dead' is we're at a vulnerable state. If we don't change, we gonna disappear like Rome. I think hip-hop could help rebuild America, once hip-hoppers own hip-hop ... We are our own politicians, our own government, we have something to say"

Zaidi ya kuongea, hawa jamaa zako wamefanya nini kusimamia maneno yao?

Jay-Z alisema hivi I can't help the poor if I'm one of them/
So I got rich and gave back, to me that's a win-win

Being one of the main victims of the mainstream industry (labels, media, etc). Jay struggled and made himself.

I gave you prophecy on my first joint, y'all lamed out/
Didn't really appreciate it, til the 2nd one came out/

He proved he's man, they offered him Def Jam's presidency. He took the position. Enriched himself with the biz' skills, insights, knowledge, connection, status, respect, you name it.

Then he bought himself out, I don't get dropped, I drop the label. And started his own. That's giving back through knowledge, and a platform.

* When he said
I do this for my culture/
To let them know what a brother looks like, when a brother in a Roadster/
Show them how to move in a room full of vultures/
Industry is shady, it needs to be taken over

That's giving back to the poor. Amewaletea Tidal. Did you listen to his freestyle when he was launching? That's a man living his words.

* Jay-Z had Oprah interview him from the projects he grew up around. Not only did Jay give it back to Hip-hop through that, but he gave back to the whole community. Their story was told to the world.

* Jay-Z raised Hip-hop's status quo when he had Obama declaring he was his biggest fan. Before, majority had a notion Hip-hop was for thugs and no goods-bound-to-kill-each-other. That's giving back.

* Nets to Brooklyn? That's giving back.

* The man coulda just retired from rapping, and chose to write checks. He's gained the top status already. But he chose to come back, cuz none of those boys you're mentioning have balls enough to tell how the industry is messed up.
Can't leave rap alone, the game needs me. Yes it does.

* Living responsibly. Married, and a father. Rich. No trouble with the laws. Financially disciplined No chrome on the wheels, I'm a grown up for real.

* Jay is not only valuable to the game, but the whole race. For a school dropout, projects' raised hustler, to achieve all that and stay grounded. You can talk about the man streetwise, musically, intellectually, politically, you name it all.

He's been through struggles. Struggled and overcame stuggles. And now he's doing something for the struggling.

Now back to you, and yours.
 
Pia unasema nirudi shule kuhusu "kiingereza changu" hapa utakuwa na tatizo kubwa kwasababu haikuwa nia yangu kujinadi nani anajua kiingereza zaidi. Au wewe mentality yako inakuongoza hivyo kuwa kujua kugha ya kigheni zaidi hata ya wenye lugha ni fahari. Hapa umeniangusha sikuelewi na sitokaa nikuelewe.[/i]

Hahaha. Ungejibu swali tu. Hizo mboyoyo nyingine, unajaribu ku-twist stuff to win sympathy.

Haha. Nyie jamaa bana. Mwenzio mikwara yake ilikuwa kutaja kina Masta Ace, sijui Snupe, Rakim. Wewe umeamua kuja na mikwara ya pages 800. Well, it's a nice trick, except it don't faze me. Facts always work, not politics.

Zaidi ya kuongea, hawa jamaa zako wamefanya nini kusimamia maneno yao?

Jay-Z alisema hivi I can't help the poor if I'm one of them/
So I got rich and gave back, to me that's a win-win

Being one of the main victims of the mainstream industry (labels, media, etc). Jay struggled and made himself.

I gave you prophecy on my first joint, y'all lamed out/
Didn't really appreciate it, til the 2nd one came out/

He proved he's man, they offered him Def Jam's presidency. He took the position. Enriched himself with the biz' skills, insights, knowledge, connection, status, respect, you name it.

Then he bought himself out, I don't get dropped, I drop the label. And started his own. That's giving back through knowledge, and a platform.

* When he said
I do this for my culture/
To let them know what a brother looks like, when a brother in a Roadster/
Show them how to move in a room full of vultures/
Industry is shady, it needs to be taken over

That's giving back to the poor. Amewaletea Tidal. Did you listen to his freestyle when he was launching? That's a man living his words.

* Jay-Z had Oprah interview him from the projects he grew up around. Not only did Jay give it back to Hip-hop through that, but he gave back to the whole community. Their story was told to the world.

* Jay-Z raised Hip-hop's status quo when he had Obama declaring he was his biggest fan. Before, majority had a notion Hip-hop was for thugs and no goods-bound-to-kill-each-other. That's giving back.

* Nets to Brooklyn? That's giving back.

* The man coulda just retired from rapping, and chose to write checks. He's gained the top status already. But he chose to come back, cuz none of those boys you're mentioning have balls enough to tell how the industry is messed up.
Can't leave rap alone, the game needs me. Yes it does.

* Living responsibly. Married, and a father. Rich. No trouble with the laws. Financially disciplined No chrome on the wheels, I'm a grown up for real.

* Jay is not only valuable to the game, but the whole race. For a school dropout, projects' raised hustler, to achieve all that and stay grounded. You can talk about the man streetwise, musically, intellectually, politically, you name it all.

He's been through struggles. Struggled and overcame stuggles. And now he's doing something for the struggling.

Now back to you, and yours.

Eti "kama kuna mtu anajuwa kusema nakutomaanisha Nas yupo juu" Hii sentensi yako haina ukweli wowote......nimekwambia fuatilia project wanazofanya Damian Gong Jr Marley na Nas utaona msimamo wa Nas, nini akapigania, anachokisema na anataka future ipi kwa watu wake. Wewe unajaribu kupinga unachukulia music kama source ya swagg na burudani pekee kwangu haiishii hapo.....kwangu music ni source of inspiration sio fame na kuwa ingorant kwa kila media inachosema. Pia kingine.....unadhihaki kitabu cha The Gospal of Hip Hop ikudai unataka vitendo zaidi.....man wewe mtu wanamna gani Krs one anafanya mihadhara kwenye Universities Marekani na pengine sasa amesha visit zaidi ya vyuo 200 akiongelea mada kama vile Amani, Utamaduni wa Hip Hop, Umoja kwa Watu weusi na Weupe.....na mambo membinge mob. Pia buku lake The Gospal of Hip Hop kinatumika kama reference katika masomo kwenye shule za sanaa upo we unayejiita Paulo Sergio?

Kingine...unasema natafuta sympathy kukuambia ukweli kuwa mimi siko hapa kushindana na mtu badi kile anachokisema? Ngoja nikuambie kitu.....ulichokuwa umeandika katika post yako Jigga ni bora kuliko Rakim ni fallacy tu kwani wewe hujui kuwa "bora" ni relative inaweza kuwa kwamaana tofauti naunayosema wewe? Au hujui hilo? Kumbuka Hip Hop pia ni darasa tunaweza ongea hadi philosophia na sio tu fake Jay Zee.
 
Paulo Sergio

Pia hayo madai ya Nas kufikishwa court hiyo ni bullshit yapo mambo mengi watu wanafikishwa mahakamani kwasababu wewe na mimi tusizozijua. Mfano jikumbushe mkasa uliomtokea Queen Lauryn Hill.....we jamaa hicho kitu kidogo kufikishwa court haifuti ubora wa mtu Nas ni bora zaidi ya hayo uliyoaandika.
 
Eti "kama kuna mtu anajuwa kusema nakutomaanisha Nas yupo juu" Hii sentensi yako haina ukweli wowote......nimekwambia fuatilia project wanazofanya Damian Gong Jr Marley na Nas utaona msimamo wa Nas, nini akapigania, anachokisema na anataka future ipi kwa watu wake. Wewe unajaribu kupinga unachukulia music kama source ya swagg na burudani pekee kwangu haiishii hapo.....kwangu music ni source of inspiration sio fame na kuwa ingorant kwa kila media inachosema. Pia kingine.....unadhihaki kitabu cha The Gospal of Hip Hop ikudai unataka vitendo zaidi.....man wewe mtu wanamna gani Krs one anafanya mihadhara kwenye Universities Marekani na pengine sasa amesha visit zaidi ya vyuo 200 akiongelea mada kama vile Amani, Utamaduni wa Hip Hop, Umoja kwa Watu weusi na Weupe.....na mambo membinge mob. Pia buku lake The Gospal of Hip Hop kinatumika kama reference katika masomo kwenye shule za sanaa upo we unayejiita Paulo Sergio?

Kingine...unasema natafuta sympathy kukuambia ukweli kuwa mimi siko hapa kushindana na mtu badi kile anachokisema? Ngoja nikuambie kitu.....ulichokuwa umeandika katika post yako Jigga ni bora kuliko Rakim ni fallacy tu kwani wewe hujui kuwa "bora" ni relative inaweza kuwa kwamaana tofauti naunayosema wewe? Au hujui hilo? Kumbuka Hip Hop pia ni darasa tunaweza ongea hadi philosophia na sio tu fake Jay Zee.

Hahaha dah! We jamaa uwezo wako wa kuelewa uko juu sana. Na tuishie hapo.
 
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana hiphop tajiri duniani. Mc mwenye package iliyokamilika ya hiphop.

Huyu ni mmoja kati ya wasanii wa hiphop waliofanya niipende sana hiphop na muziki wa rap kwa ujumla. Nakubali michano yake, style zake, mashahiri, lifestyle yake, hustle zake na swaga zake zisizo zeeka.

Nyimbo nazopenda kutoka kwa huyu mchizi ni hizi

Anything
Hardknocklife
Dead prez
99 Problems
Empire State of Mind
Encore
Young forever
Girls girls girls
Glory
Take over (kawadiss sana nas na prodigy)
Wishing on the star

Kifupi album zote na nyimbo karibu nyingi nazikubali za huyu jamaa.

Who you know fresher than Hov... Riddle me that?

🎶I'm not a businessman I'm a business, MAN!

Happy birthday King Jigga

aisee kwangu mimi icon ya hip hop ni tupac(philosopher), wengine wanajaribu
 
Jay z kazaliwa Dec 4 1969

P didy kazaliwa Nov 4 1969.

Wamepishana mwezi mmoja tu .
 
Wana mjadala umekuwa mzuri sana nimekuwa nawasoma kimya kimya. Uzuri wote mnaelewa mnachoongea.
 
Ila MosDef ni mkali aisee. Mimi namwelewa sana. C huku tu, mpaka kule kwenye soccer jamaa yupo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Nimewaelewa sana na bahati nzuri kati ya watu naowafuatilia ni Bas, jigga na hao wengine, inshort i love hiphop vut ukweli mchungu ni kua Nas speak Half truth n he actually rep the hoods though je turns his back on it... Nas anazungusha mitaa, unlike jay z who is so real to whatever comes out his mouth.... Thats the difference [emoji2]
MwL. Gwalu huyu wakike looo akikutana na Mwl magochi utaumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu huyu Jigge sio yule alifukuzwa govt school akaenda Mwembeni secondary pale Musoma mjini?

The lifespan of this thread is too short

We have either seen, heard, and or read about what happened to the MP Mnyika in the house a day before yesterday.

A ccm MP blurted to him, "you're a thief ", but Mnyika chose to maintain prudence and inquired the speaker to act upon, what took place showed the world that, the house speaker not only he is a fool (being called a fool is not defiance nor insult but a fool is a person who bears no wisdom) but he is more than a fool.

At the moment, it's very unsafe to be an opponent in Tanzania, the rulers are as finding themselves as gods, they don't opt to be opposed, all they think about is to be upheld even if they blunder to the great extent.

Each ccm leader is full of ferocious hatred against the opponents as if they are not our fellow Tanzanians.

I personally wanted to take part in politics, but I sat down and pondered deep over this and I finally concluded to refrain from Tanzania's politics for my own good and the family besides.

These people think that, they will never come to an end, their thoughts are too weak to envisage,they think that ccm will not get out of saddle.

We all still recollect how Speaker Ndugai smashed his rival by a rod on his head, in such a way that he became unconscious and went into coma.

Because they are drunken by power and they are not God fearing, to them Tanzania is theirs, and they think they have a copyright on it.

I wish UKUTA should be brought back, for how long will we keep on fearing of the tyrants? we better confront them than not, it's time to wake up for our own sake, the country is ours, and it does not belong to a certain group of people.

We have a choice to choose any party which we want,and not to be chosen for us by bandits.

Eti "kama kuna mtu anajuwa kusema nakutomaanisha Nas yupo juu" Hii sentensi yako haina ukweli wowote......nimekwambia fuatilia project wanazofanya Damian Gong Jr Marley na Nas utaona msimamo wa Nas, nini akapigania, anachokisema na anataka future ipi kwa watu wake. Wewe unajaribu kupinga unachukulia music kama source ya swagg na burudani pekee kwangu haiishii hapo.....kwangu music ni source of inspiration sio fame na kuwa ingorant kwa kila media inachosema. Pia kingine.....unadhihaki kitabu cha The Gospal of Hip Hop ikudai unataka vitendo zaidi.....man wewe mtu wanamna gani Krs one anafanya mihadhara kwenye Universities Marekani na pengine sasa amesha visit zaidi ya vyuo 200 akiongelea mada kama vile Amani, Utamaduni wa Hip Hop, Umoja kwa Watu weusi na Weupe.....na mambo membinge mob. Pia buku lake The Gospal of Hip Hop kinatumika kama reference katika masomo kwenye shule za sanaa upo we unayejiita Paulo Sergio?

Kingine...unasema natafuta sympathy kukuambia ukweli kuwa mimi siko hapa kushindana na mtu badi kile anachokisema? Ngoja nikuambie kitu.....ulichokuwa umeandika katika post yako Jigga ni bora kuliko Rakim ni fallacy tu kwani wewe hujui kuwa "bora" ni relative inaweza kuwa kwamaana tofauti naunayosema wewe? Au hujui hilo? Kumbuka Hip Hop pia ni darasa tunaweza ongea hadi philosophia na sio tu fake Jay Zee.

aisee kwangu mimi icon ya hip hop ni tupac(philosopher), wengine wanajaribu
 
wewe unaijua hiphop kweli?sema mc mkali kwako na sio kuwahi kutokea
hebu nikupe clue...between KRS ONE and RAKIM bado haijawa settled who is the best of them all hiphop headz..
Rakim is the beast!
 
Kama unaijua vzr HIP HOP huwezi kusema Jay Z ndio msanii wa Hip hop kuwahi kutokea Duniani,

Anyway,

Happy birthday Jigger.
Jay Z is an American rapper and businessman. He is one of the best-selling musicians of all time , having sold more than 100 million records, while receiving 21 Grammy Awards for his music.
MTV ranked him the "Greatest MC of all time" in 2006. .
Rolling Stone ranked three of his albums Reasonable Doubt (1996), The Blueprint (2001), and The Black Album (2003) among the 500 greatest albums of all time..
HUYO NDO BOSS HOVA
 
Kuna lebo flan jigga aliwahi kufanya nayo kazi zamanii wakaja kusema wao ndo wamemtengeneza jigga

jay z alichowajibu sasa

"Can you please made another Hov"

Happy Birthday Hov
"... I heard muthafuckas sayin' they made Hov,
made Hov say, Ok
So, make another Hov ..."

Mkuu hili lilikuwa dongo kwa partner wake wa zamani Damon Dash.
 
haya jigga happy birthday, ila ukisema ni mc bingwa kupata kutokea duniani watu hiphop watakubishia, wao wanawatajaga sana wakina Tupac na Nas, wakati wazungu wanamtajaga Eminem
Labda Tupac Na Eminem

Nas bado sana kwa Jigga
 
Mainstream media zinawaaminisha fans vitu ambavyo havipo ndio maana leo Jigga anaonekana top kuliko KRS One au Rakim.....but all in all inategemea fan mwenyewe anataka nini kwenye music....je music kwako ni source of inspiration and education and swagger? That is the big difference man.
Hao mnaowataja hata kuwasikia hatujawahi..

Nyie ndio ile aina ya mashabiki mnaosemaga One The Incredible ni msanii mkali kuliko wote
 
"... I heard muthafuckas sayin' they made Hov,
made Hov say, Ok
So, make another Hov ..."

Mkuu hili lilikuwa dongo kwa partner wake wa zamani Damon Dash.
Confirmed, jay z is a kind of a guy who can move out in a Room full of vultures.... When kanye was asked why didn't go after damon dash(dame)when def jam was collapsing.... So kanye had a lot to learn from Jay than damon n do jay is proud of who he is, hover himself.... Though There are so many conspiracy theories surrounding his success, i think hov is a business not just an artist...
 
Back
Top Bottom