Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana sana. [emoji120]Hbd mkuu Jimenaa uishi miaka mingi Kwa Mapenz Yake Mungu
Thank you sana mkuu.... Wanasema better late than never.Happy birthday J
Sasa basi usiitoe herufi, jina lenyewe sio la huko mkuu na linatamkwa Himena. Thank you YegomasikaHili jina, Jimena, ikiiondoa hiyo herufi "e" ukaweka "a" linaleta utata sana kulitamka huko home kwetu! Happy birthday aisee!. !.
Wacha masihara wewe.. Huyo ndo Jimena? Hilo lote la kwake hapo nyuma!?huyu ndio jimena
![]()
Wakuu mi ninazo picha zake najaribu kuziweka zinazingua...utaalam haba[emoji12] [emoji3]Mkuu picha yangu ni hiyo ya kwenye avatar
Mtag tu Econometrician aje kukujibu [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wacha masihara wewe.. Huyo ndo Jimena? Hilo lote la kwake hapo nyuma!?
Zina pin code hizo, kuzi upload ni mpaka niweke fingure printWakuu mi ninazo picha zake najaribu kuziweka zinazingua...utaalam haba[emoji12] [emoji3]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] wacha utani weweEti huo mkia wa kwako[emoji12]
Du njoo uniwekee basiZina pin code hizo, kuzi upload ni mpaka niweke fingure print
Mkuuu ebu tuweke waz huo mkiaa wako kwel[emoji87] [emoji87]Mtag tu Econometrician aje kukujibu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Thank you dear kapuku,Happy birthday Jimena
Kapuku mwenzangu
Kwani unataka kuleta barua ya posa??Mkuuu ebu tuweke waz huo mkiaa wako kwel[emoji87] [emoji87]
Una pesa ngapi?? Maana hakuna cha bureDu njoo uniwekee basi