Happy Birthday Jimena !

Aliekufa ni Ibra ?? Mbona hapa ni kama vile unadhani na mimi nimekufa??
Ignore him
Ameshiba vitumbua ameamua kuharibu tu uzi na huyo mwenzie kwa maslahi yao ndio maana amerudiarudia
Wapuuzie tu
 
Ignore him
Ameshiba vitumbua ameamua kuharibu tu uzi na huyo mwenzie kwa maslahi yao
Wapuuzie tu
Inawezekana kabisa
Maana sioni mantiki ya kuweka post zaidi 5 ambazo haziendani na maudhui ya thread
 
Ignore him
Ameshiba vitumbua ameamua kuharibu tu uzi na huyo mwenzie kwa maslahi yao ndio maana amerudiarudia
Wapuuzie tu
Mkuu unamaanisha na mwenzangu mimi au ? Maana mimi ndiye niliyemqoute jamaa.
 
[emoji53]
Mwanzo nilijua mlengwa(Jimena) wa Uzi ndiye kafariki ikabidi niulize.

Cha kushangaza naona kama nimeunganishwa na mpost post zenye utata kama mharibu uzi.
 
Mwanzo nilijua mlengwa(Jimena) wa Uzi ndiye kafariki ikabidi niulize.

Cha kushangaza naona kama nimeunganishwa na mpost post zenye utata kama mharibu uzi.
Mi pia nikajua labda nimekufa[emoji53]
 
Aliekufa si ni Ibra ?? Mbona hapa ni kama vile unadhani na mimi nimekufa??
Umeshindwa/Mmeshindwa kunielewa.

Ni hivi,

Ndani ya Uzi huu wako/wa kwako kila Mchango aliochangia Ibra nimeuweka, na kwasababu nimestukia ndani ya Uzi huu kuwa Ibra hatuko nae tena, nikajisikia kuweka Michango yake aliyochangia ndani ya Uzi huu.

Cha kufanya nakuomba wewe katika kila sehemu niliochangia Mimi ndani ya Uzi huu, wewe Bofya kila sehemu inayosema,

Happy Birthday Jimena !

Ndipo utakapofahamu nilichokuwa nakikusudia Mimi
 
Dah... [emoji27][emoji27][emoji27]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…