Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiuun
Happy Birthday Jimena !
Kawa mara nyingine tena, Pumzika Kamanda.
Mbele yako, Nyuma yetu.
Sisi tulikupenda, Mungu anakupenda zaidi.
Upumzike kwa AMANI kwenye Nyumba yako Milele.
Daima tutakukumbuka
Aliekufa ni Ibra ?? Mbona hapa ni kama vile unadhani na mimi nimekufa??
Hajui nini sasa??Hahaaaaa noma sana, labda atakua hajui..
Inawezekana kabisaIgnore him
Ameshiba vitumbua ameamua kuharibu tu uzi na huyo mwenzie kwa maslahi yao
Wapuuzie tu
Mkuu unamaanisha na mwenzangu mimi au ? Maana mimi ndiye niliyemqoute jamaa.Ignore him
Ameshiba vitumbua ameamua kuharibu tu uzi na huyo mwenzie kwa maslahi yao ndio maana amerudiarudia
Wapuuzie tu
Upo aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbe upo huu uzi?
Kumbe upo huu uzi?
[emoji53]Mkuu unamaanisha na mwenzangu mimi au ? Maana mimi ndiye niliyemqoute jamaa.
Mwanzo nilijua mlengwa(Jimena) wa Uzi ndiye kafariki ikabidi niulize.[emoji53]
Mi pia nikajua labda nimekufa[emoji53]Mwanzo nilijua mlengwa(Jimena) wa Uzi ndiye kafariki ikabidi niulize.
Cha kushangaza naona kama nimeunganishwa na mpost post zenye utata kama mharibu uzi.
Haha...Mi pia nikajua nikajua labda nimekufa[emoji53]
Umeshindwa/Mmeshindwa kunielewa.Aliekufa si ni Ibra ?? Mbona hapa ni kama vile unadhani na mimi nimekufa??
Dah... [emoji27][emoji27][emoji27]Umeshindwa/Mmeshindwa kunielewa.
Ni hivi,
Ndani ya Uzi huu wako/wa kwako kila Mchango aliochangia Ibra nimeuweka, na kwasababu nimestukia ndani ya Uzi huu kuwa Ibra hatuko nae tena, nikajisikia kuweka Michango yake aliyochangia ndani ya Uzi huu.
Cha kufanya nakuomba wewe katika kila sehemu niliochangia Mimi ndani ya Uzi huu, wewe Bofya kila sehemu inayosema,
Happy Birthday Jimena !
Ndipo utakapofahamu nilichokuwa nakikusudia Mimi