Happy Birthday Jimena !

Happy Birthday Jimena !

Ngumu kusema happy birthday wakat ishapita, ila ni rahisi kukuombea dua na mambo mema kedekede katika maisha yako ya sasa na yanayokuja..

Wish you all thr best bhana, allah akutizame kwa jicho la huruma, akupe kila lenye kheri ndan yake.

Akupe umri mrefu na afya tele.

Akujaze imani n kukuongoza.
 
Nakuombea dua njema upate kuishi miaka mingi yenye kumpendeza mwenyezi mungu
 
Ngumu kusema happy birthday wakat ishapita, ila ni rahisi kukuombea dua na mambo mema kedekede katika maisha yako ya sasa na yanayokuja..

Wish you all thr best bhana, allah akutizame kwa jicho la huruma, akupe kila lenye kheri ndan yake.

Akupe umri mrefu na afya tele.

Akujaze imani n kukuongoza.
Asante sana sana makaveli10
Nashukuru sana kwa maombi yako na naamini itakuwa hivyo
Hehehe niishi miaka 200 au vepe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na zaidi kama ikiwezekana ila usifikie tu umri wa mateso..

Mwezio nabii ibrahim aliomba aishi miaka kedekede, siku akaonesha jinsi kizee kinavyoishi kwa shida, fasta akachange mind.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asante sana sana makaveli10
Nashukuru sana kwa maombi yako na naamini itakuwa hivyo
Hehehe niishi miaka 200 au vepe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa kweli I have to proudly admit kwamba katika wana jamvi ninaowaheshimu humu especially michango yao basi muungwana Jimena ni mmoja wapo. Michango yake kwa wale waliokulia Dar es Salama wanasema "ilikwenda shule".lkn now umelose cz ya kushinda sana kwenye makapuku forum rudi intelligence ndiko kunakufaa
 
Mbona intelligence nipo sana tu,

By the way ile chatroom (makapuku) ni kama maji usipoyanywa utayaoga

Kuwepo pale hakunizuii kuchangia mada zinazonigusa mahali pengine

Asante sana mkuu
 
"Uko thawa kabissa.."

In mkombe wa kulichombe voice
 
Back
Top Bottom