Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Wa tarehe 29 february hawamo humu..?
Mkuu kwahiyo kuna miaka.huwa huna siku ya kuzaliwa? Kwahiyo mwaka huu inabidi ufurahi sana maana kuna 29 kwanye mwezi wa February
Tumepishana kidogo mkuu mimi ni 28 February kama vip tutashare tu....
 
Mkuu kwahiyo kuna miaka.huwa huna siku ya kuzaliwa? Kwahiyo mwaka huu inabidi ufurahi sana maana kuna 29 kwanye mwezi wa February
Tumepishana kidogo mkuu mimi ni 28 February kama vip tutashare tu....
Cjazaliwa Feb mkuu.. nilikuwa ninauliza tuu kutaka kujua kama wako walio na bahati ya kuzaliwa tarehe 29 Feb.. mie ni wa 14 November..
 
Mpaka sasa sijaona 25/02/....,mpaka sasa ina maana niko mwenyewe duniani au?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…