Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Mkuu nimekula chumvi mpaka nilipofikia chumvi inanila mimi😁I bet hata 25 hufiki😃😃🏃🏃🏃🏃, kigoriiiiiii
Mkuu nimekula chumvi mpaka nilipofikia chumvi inanila mimi😁I bet hata 25 hufiki😃😃🏃🏃🏃🏃, kigoriiiiiii
Kwenda ile Picha upo kwenye bembea, nili prove ni kigoriiiiiii 😁Mkuu nimekula chumvi mpaka nilipofikia chumvi inanila mimi😁
Ile nili ipata kwa ku Google 😁Kwenda ile Picha upo kwenye bembea, nili prove ni kigoriiiiiii 😁
Kwenda😁, na ile ya nywele pale kwenye neti😃😁.Ile nili ipata kwa ku Google 😁
Hongera25/07/
Thanks sana, my favorite rival 🤒
Haya uje unisimulieThanks sana, my favorite rival 🤒
Nisha chelewa, ila nili sahahuHaya uje unisimulie
Aaaah pacha ww17 January
Me 16 January17 January hii tarehe inaonekana sio rahisi kupata pacha
mkuu@Kiranga mbona hujanipatia muongozo kule PMHapa ndipo wasiojulikana wanakuja kuchukua data kulinganisha na database lao la NIDA kujua nani ni nani.
Umeanza wkend mapema weweMbona mmestop kujiunganisha?😄
ambao mlijiunganisha eh what happened?