27/08/1980sHuu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
nimekukosa siku moja tuAugust 07
Tutapanga Mkuu,nami nimefurahi siku hiyo tusherehekeeeee weeeeeenimempata mwenzangu,birthday party wapi?