Wow lady A ni twin wangu[emoji8] [emoji8]oct, 11 ni tarehe adimu hii.
Kidogo uzaliwe Siku ya mabomu ya marekani[emoji26] [emoji26]Sept 10
July 27May baby na wewe sio?
Yaani itabidi nirudi nyuma siku moja aisee10/10
Hatimae!!! Sijawahi kukutana na twin wangu.Wow lady A ni twin wangu[emoji8] [emoji8]
[emoji15] dah mie feb 23February 25
[emoji7] [emoji7] [emoji7] tumezaliwa pamoja. Sijui ni miaka sawa au?23/ feb
4/8Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.