April 1616 april
Wee ndo pacha wangu.Sept11
Mi huwa hata nikisahaulisha vipi lazima akina obama watanistua na maazimisho yao yale ya ugaidi wa sept11Wee ndo pacha wangu.
Ni kweli kabisa Mkuu, hata mimi hukumbukia hapo tu shambulio la kigaidi. Tuwe pamoja Mkuu.Mi huwa hata nikisahaulisha vipi lazima akina obama watanistua na maazimisho yao yale ya ugaidi wa sept11
Wewe pacha wangu29 March
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Ni kweli kabisa Mkuu, hata mimi hukumbukia hapo tu shambulio la kigaidi. Tuwe pamoja Mkuu.
Raha iliyoje kumpata twin wa jf. Pamoja sana mdauTupo
Mmmmmmmh! Hii tarehe hiii?17 july
U are the perfect match I was looking for!7th July