ramadhani kimweri
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 181
- 179
nilijua nitakua peke yangu 27 November ..........hi twinWe ni mwenzangu...
04 NovemberAugost 28
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
July 21
Nmetafuta xjaona,,,
Akiwapo mtoto wakike aliyezaliwa cku hiyo natangaza ndoa kabisaaa