khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Hii tarehe hua tuko wa2 wachache sana....12 jun
We're triplets now...teh tehMy twin
Nimehangaika kwa kila njia kutafuta ukweli juu ya uzi huu nimepata majibu tofauti tofauti lakini linalojitokeza kila mara ni kwamba kuna baadhi ya tarehe na siku ambazo ni nzuri sana kwa makafara ya kifreemason, kwa hiyo wanatafutwa watu waliozaliwa siku hizo ili watumike kwa manufaa na mipango ya ki-Freemason.Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] people mnamawazo...Nimehangaika kwa kila njia kutafuta ukweli juu ya uzi huu nimepata majibu tofauti tofauti lakini linalojitokeza kila mara ni kwamba kuna baadhi ya tarehe na siku ambazo ni nzuri sana kwa makafara ya kifreemason, kwa hiyo wanatafutwa watu waliozaliwa siku hizo ili watumike kwa manufaa na mipango ya ki-Freemason.
27 April21April
Mi pia 2nd July2 July