Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.

Wengine tunaogopa tukiziandika tu hapa tayari utakuwa umeshajua passwords zetu za ATM au Mobile Money transfer.
 
27 June
lkn sijawahi kupata pacha wangu humu daaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…