Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

jamani June 16 mko wapi????? mwaka huu Mungu akituweka hai tukutane tukaadhimishe siku Ya Mtoto wa Africa
 



Tuko pamoja mkuu




waooh my blood sis is 16 july....

25 July, wap mwenzangu??


Mi mbona ni wa July 6..


JULY 26... dnt tell me kwamba tuko lucky kuwa wachache zaid tunaozaliwa mwezi July!



aii wewe ungenisubiriapo kidogo tu tungekuwa twin loh!

mi july 1.



Duh.... Pacha wa mai waifu wangu...

Kuanzia leo wewe ni shemeji yangu.....





mkuu mimi ni Julai 6

Almanusra uwe twin angu, mine is July 10

Tangu thread hii ianze sijapata pacha wangu, kaazi kweli.

Mko wapi wale wa 10th July?


Acha utani bhana!




mi july 6

27 july ..naniiii?

July 30
Tupo wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…