hahahah hivi na wewe ni mjin.... Loool....1st April
Ungesubiri kidogoJanuary 6
Ungechelewa siku 1 jamani24 nov
Thankx mkuu I'm xo happy kukutana na my twin [emoji5] [emoji5] [emoji5]You are welcome/Karibu tufahamiane
Karibu tupeane experience mbalimbali za kimaishaThankx mkuu I'm xo happy kukutana na my twin [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Umezaliwa july 29??my mate...we need to talk
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji106] pa1 mkuu we umezaliwa trh ngapi vile!!?Karibu tupeane experience mbalimbali za kimaisha
Nipo naipigia kasi 27 july tena mwaka niliozaliwa mimi ilikuwa Jumatatu but this year itakuwa Alhamis!27 July yuko Wap jaman
Nimekuwahi siku moja 28 July29 july
Tupo wachache sana wenye nyota zetu 28 JulyJuly yetu ndio hii