Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Yani ndo kusema jf yote hakuna wa 28th octeber mwenzangu?
Siku hiyo wamezaliwa
Bill gates
Mahamud Nijad
Na wengine wenye akili kubwa...
 
Hii ni ya wale wa leo leo Oct,7 kama mheshimiwa mimi, mheshimiwa Jakaya Kikwete, mheshimiwa na mzee wa Nobel Dosmund Tutu, na mwingine wa humu sijui mheshimiwa nani...
 
Mimi nashare birthday na Scott Adkins {Yuri Boyka} thats y napenda movie zake balaa, then kanizidi miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…