Karb Sana pacha wanguHatimae nimempata Twin wangu[emoji7]
JPM pia atakuwa kazaliwa siku hiyoYani ndo kusema jf yote hakuna wa 28th octeber mwenzangu?
Siku hiyo wamezaliwa
Bill gates
Mahamud Nijad
Na wengine wenye akili kubwa...
19 octoberMimi tarehe 19 october
Mwanangu twin wakoAugust 31 naamini ni wacheche sana tuliozaliwa hiyo tarehe.
Hata mi nimepata twins wangu[emoji137]Hatimae nimempata Twin wangu[emoji7]
Ungepunguz ck 1028 January