Oooh! Kuna mmoja nae alikuwa twin wetu sijui alipotelea wapi, tungekuwa triplets sasa!Waooo hatimaye nimekubamba mkuu. Pamoja sana..
Hao ndio huwa tunasema wanatumia bangiKalenda ipi hiyo inayo hiyo tarehe?
Kumbe tuko pamoja hapa eheheheJune 23.....
Wewe nawe hupitwi?Wacha we[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wewe ni pacha wanguKw hy hakuna kbhs aliezaliwa oct 10
N mm tu[emoji21][emoji21]
Naanzaje kupitwa kwamfano!!Wewe nawe hupitwi?
Acha maswali magumu! JF zamani ilikuwa tamu sana!Naanzaje kupitwa kwamfano!!
Wako wapi sasa hao wachuchu?
Mkuu hapo unaongelea utamu upi?Acha maswali magumu! JF zamani ilikuwa tamu sana!