march 10Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members� kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Duh....nikadhani ni April 14July 14
Hatimae nimekupataApril 14
daah tumepishana siku moja mm ji 8 /9wale wa 09/09 karibuni
si mbaya mkuu ni ishu ya masaaaa hapo aisedaah tumepishana siku moja mm ji 8 /9
Pacha Wangu ongeraAugust 17
mwenzangu22/7
Umeniwahi siku 1 tuNovember 11
Ungewahi siku moja tungekuwa mapacha2 January