Bado siku moja tuzaliwe tarehe moja.9 June
Team Gemini tukutane hapa
Haya team Gemini mwenzanguBado siku moja tuzaliwe tarehe moja.
Haya team Gemini mwenzangu. Mm ndo sijapata pacha
Pole jamaani. Mie niliwapata kwenye Uzi huu huu hivyo usivunjike moyo mwaya.Haya team Gemini mwenzangu. Mm ndo sijapata pacha