Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.
May 27
 
Haiwezekani tar 30 oct iwe niko peke yangu humu jf. Nikikupata mwenzangu ukiwa mwanamke bora hata nikuoe aisee hata uwe bibi vipi ntakuoa tu ili kuitunza hii kumbukumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…