Kama shida yenu mwanaume mchagueni Scorpio.
Wana sifa hizi:
1. Wild fucking
2. Wana mapenzi ya dhati, wanaweza cheat lakini bado anampenda mtu anayempenda tu. Why? Rejea hapo juu, hawa jamaa wanapenda papuchi kama chakula. Kama mdada ukiwa na kiherehere utajuta hapa maana wanatoa dozi kama vile wapo kwenye mashindano
3. Huwezi kuwadanganya hawa jamaa.HAwadanganyiki. Unaweza kumdanganya siku ya kwanza lakini sio ya pili.
4. Wanapenda kuabudiwa kama miungu. Unaweza mkosea kidogo ikawa mwanzo wa kupigwa chini kiaina aina tu.
5. Hawajui kusema sikutaki ila utaona anachokufanyia tu.
6. Ni watu wa gharama sana. Wanapenda maisha ghali, hawataki shida. Ukiwa makini nae utakula sana mali zake mpaka kufa.
7. Wana malengo na mitazamo chanya.
8. Hawakati tamaa hata chembe, daima na wakati wote hawa ni wapambanaji.
Namba moja ichunge, maana ukijifanya mpanga ratiba umemfukuza kabisa,
Sent using
Jamii Forums mobile app