aisee! Usinambie!! Haya kadi plz!!
kam zis wei...
Ama kweli mi wapekee yani sijaona hata mmoja wakufanana duu!
Inawezekana ni mimi wa Nov 9
aaah wapi!
november 9
Dah... hatimaye nimebamba mmoja!! Hongera pacha wangu! Na mimi ni Nov 9
hongera! Mi bado nasaka wangu! Hadimu.! Nikimpata lazima 2fanye party!
Asante...
Atapatikana tu!!
haha! Mechemshaaa!
Me pia January, kati ya 20 na 29. cheeter nae anahusika. Pamoja na viol, mchajikobe, pelani, kufikirika, Yegoo, ngofa, Angelicious, leonk, leencolman, Benzoic, Phenomenal, Redrose20, tycoonff, mhimidinhothedon, nkululeko
Sijapata uhakika kuhusu Preta na FirstLady1
Mimi ni 14 may