Happy Birthday.
Sikapata pacha
Basi woooote ni pacha wangu.
Happy Birthday
Thanks much ndugu
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
18 julai (Mandela day mko wap)
Happy birthday my twin
Nawe pia mamie, leo mapochopocho wapi, Karibu huku tujichane mbuzi pori.
Happy birthday kwa wa dec 1 wote
Pacha wa mwanangu.
july 15
July 15