Hahahaaaaa mimi hapakuwa na keki mwaka huu...
But nitakutafuta mwakani tusherekee woteee
Oyooooooooo imekaaaa poa sana jaman... Afu itanoga sana kama wwe ni wale watu wa vidole viwili
kwn wew tisn na ngap njoo inbox
Vidole viwili ndio mpango wa mujiniiiii...
HahahahAaaaaaa
Mamaaaaa umenimaliza kabisa nipm bas mipango kabambe ya kuchukua dola octoba na kuanda kaevent ka kek mwakan kaanze
Usijal mkuuuu
Na uskute mwaka mmoja!!
Here,you areee..
The same day.
Ni siri yangu my dear, thanks.Aahhhhhaaa weye ni kiboko.. so how much did you pay her? Aahhaaa... Thanks..