24 May
Nimekuta wa 22 na wewe 24 May hivi kwanini tusitafute average muwe kama mimi babu yenu?
December 24 usiku.
LobhagoPamoja sana mkuu, pia nimezaliwa tarehe hiyo hiyo
Mimi Jan 12.....mapinduzi day
Aug 13
Hata mimi nimeukumbuka ndo maana nimemuandikia hivyo.
Aisee afadhali nimekuja huku leo walau Jumanne ntakula keki. PM me lokesheni ya pati.
Hahahaaaaa! Party tumewaachia watoto, na uzee huu sahivi nawaza tu ada za bandugu hapa, hata wazo la party hakuna!
24.06.1980
We mtafute FidQ