Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #21
Ndio ndio[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We mpe tu birthday inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We mpe tu birthday inatosha
Asante sana ElviceHappy birthday Da Jolieeee
Ishi miaka mingi Mrs Hazard [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha ni kukutana na kuachana bro [emoji1]
Wao ndio wahakikishe wana dumu
Mi nawaombea uhai na afya njema tu
Hao wakae mbali na JJ wetuWasiojulikana...
Huhuhu asante MalcomHeri yake ya kuzaliwa,
Naona amezaliwa siku moja na Mama yake Malcom Lumumba!
Kivipi mkuuNaona mtu anatafuta ugomvi na mtu mwingine humu....
Eti hadi kudumu nako tuwaombee?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maomb yako muhimu mkuuMaisha ni kukutana na kuachana bro [emoji1]
Wao ndio wahakikishe wana dumu
Mi nawaombea uhai na afya njema tu
Tarehe ya watu wenye baraka zaoHappy birthday mama malcom lumumba
Wewe nakuuliza hutak kujibu ? Swali nililokuulizaa unajifaraguaa tuHappy birthday JJ totoo
Kifaranga wako wa pembeni Da'Vinci
[Ur side Chick Da'Vinci]
Usintafutie balaa mdogo wangu[emoji1] [emoji23] [emoji23]Happy birthday JJ totoo
Kifaranga wako wa pembeni Da'Vinci
[Ur side Chick Da'Vinci]
Umeamka mamaTarehe ya watu wenye baraka zao
Shukrani sana Mkuu!Happy birthday mama malcom lumumba
Karibu sana Mkuu.Huhuhu asante Malcom
Heri ya siku ya kuzaliwa mama mpendwa
Haina shida ikiwa wewe mwenye nyumba utamfikishia inatoshaShukran mkuu...nadhan atakuja kureplay asubuhi,upopo hauwezi yule
Hahaha anataka achunguze kama chura ipoAaaah
Braza wewe ufuate maelekezo
Picha ata iweka hazard wape birthday tuu inatosha
[emoji1]
Mbona unakazania picha!!
Thank u so much Iceman,thanks alot for y'r appreciations to us.May God bless u.Happy Birthday JJ
Uishi maisha marefu
kwa muda mfupi sana ambao nimekufahamu wewe na harzard i can simply say
You guys are a blessing.
Am proud to know y'all
Hongera JJ
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba picha yake nimuweke dp watsap.
InshaalahWaombee wadumu
Asante sana MwifwaHepi bethi dei Mrembo Jolie Jolie
Mungu akujalie uishi miaka mingi kadri ya mapenzi yake