DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mniombeeèè mweeehWatanzania tukusamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mniombeeèè mweeehWatanzania tukusamehe
“Ndoa na Iheshimiwe””Huhuhuuuu asante sana kwa suprise cake Lee swagger
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kimbilio lake baada ya kuvurugwa na timu zake
HahahahaHahaha yani we unajuaga kupamba
Khaaa ili iweje sasaNaomba picha yake nimuweke dp watsap.
Mdomo wangu umebaki wazi comradeNaona mtu anatafuta ugomvi na mtu mwingine humu....
Ebu acha kumwibia binti wa watu jamaniAsante sana mume wangu Hazard,asante sana kwa kuonesha upendo wako kwangu
Umekua wa kwanza kuikumbuka hii tarehe kabla ya mtu yeyote
Upendo wako kwangu haujawahi kushuka kiwango,naendelea kukuombea kwa mwenyezi Mungu,shetani mchonganishi na mwenye hila asikupitie wala asinipitie,Ulinzi wa malaika wa bwana ukazunguke nasi siku zote za maisha yetu.Nakuombea hivyo ulivyo usije ukabadilika...
Wewe ndo siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakini haina maana kuwa kuna mbora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Nakupenda
Asante sana lee swagger“Ndoa na Iheshimiwe””
“Ushangilie pamoja na mume wa ujana wako.”—METHALI 5:18.
Kila la heri na Mungu awalindee.....
Thank u so much shemeji angu kipenzihazard cfc kuanzia usiku huu tembea kifua mberee. Umebahatika kumpata mrembo kama huyu ndani ya msitu wa jf wenye prey wa kila6 aina.
Salute sana.
Napenda kuona siku zote mkiwa kwenye lait track.
Happy g day wansi ageini Jj
Asante kijana bismackNakutakia cku njema ya kuzaliwa mrembo Jo.
Hahahaha asante sanaHahahaha
Kama mwaka huu ndio kavurgwa kwel kwel tunashukuru kwa kuwa naye
Haha we ni bonge la mpambaji,mkeo atapata raha sanaHahahaha
Hamna nawaambia ukweli rafiki zangu
Mko vizuri
Thank u Miller ake MumuHappy birthday Jolie,
Have a brast
Asante ndugu Harufu