DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Najua mkuuUmesahau hawa viumbe ni vinyonga?[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua mkuuUmesahau hawa viumbe ni vinyonga?[emoji23] [emoji23]
Sema penye uzia lazima tupenyeze rupia.Umesahau hawa viumbe ni vinyonga?[emoji23] [emoji23]
Asante sana omwanaHappy bday Jolie Jolie aka omwana
Mungu akujaalie maisha marefu yenye afya na furaha tele
#teamapril#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Team April mnafujoo
Kabisaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2]hatuna fujo sisi,mioyo yetu imejaa upendo tu
Hahahahaha khaaaaMnanichanganya mie nikajua hazard
Shualina anapigaga vilaji ndio anaingia humuu...heinken za kutoshaa[emoji23] [emoji23]Hahahahaha khaaaa
Hahahahaha khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya leo kali nimeingia saa kumi na moja sijui kasoro hiviShualina anapigaga vilaji ndio anaingia humuu...heinken za kutoshaa[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shualina anapigaga vilaji ndio anaingia humuu...heinken za kutoshaa[emoji23] [emoji23]
Au unakuaga na uchovu wa kuuza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya leo kali nimeingia saa kumi na moja sijui kasoro hivi
Thank u mke wa mshanaJolie jolieView attachment 744695
Thank u loveHappy birthday jj
Kumbe na wewe umechelewa kama mimi?Happy birthday beautiful baby girl, Mungu akupe umri mrefu Dear.
Hahaha anakua kauza usiku kuchaAu unakuaga na uchovu wa kuuza?
Yaani acha tuuKumbe na wewe umechelewa kama mimi?