ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema
Mchezaji huyo baadae alijitokeza na kusema umri wake ni miaka 17 ila mateso ndiyo yaliyomfanya awe na muonekano wa kizee kwani aliteseka sana akiwa mtoto.
Joseph leo amefikisha miaka 28 , siku sita zilizopita alitambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Gzira United akitokea Sliema won