Happy birthday Joseph Minala, leo anatimiza miaka 28

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
1000119164.jpg
Sikia kisa cha Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon aliwahi kukutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17.

Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema

Mchezaji huyo baadae alijitokeza na kusema umri wake ni miaka 17 ila mateso ndiyo yaliyomfanya awe na muonekano wa kizee kwani aliteseka sana akiwa mtoto.

Joseph leo amefikisha miaka 28 , siku sita zilizopita alitambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Gzira United akitokea Sliema won
 
View attachment 3078043

Page yake ya Wikipedia inagoma kukubali huo umri🤣🤣🤣
Screenshot_20240824_161815_Chrome.jpg
 
Mwanzoni mwa Mwaka 2014 Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon alikutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17.

Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema

Mchezaji huyo baadae alijitokeza na kusema umri wake ni miaka 17 ila mateso ndiyo yaliyomfanya awe na muonekano wa kizee kwani aliteseka sana akiwa mtoto.

Joseph leo amefikisha miaka 28 , siku sita zilizopita alitambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Gzira United akitokea Sliema wonderers

View: https://www.instagram.com/p/C_DBNLoKqV1/
 
Back
Top Bottom