View attachment 3078043
Sikia kisa cha Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon aliwahi kukutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17.
Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema
Mchezaji huyo baadae alijitokeza na kusema umri wake ni miaka 17 ila mateso ndiyo yaliyomfanya awe na muonekano wa kizee kwani aliteseka sana akiwa mtoto.
Joseph leo amefikisha miaka 28 , siku sita zilizopita alitambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Gzira United akitokea Sliema won