Happy birthday Jovitha wangu

Happy birthday Jovitha wangu

Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.

Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.

Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.

Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Cc: Jovitha

Natamani huu utunzi ungeimbwa wa ajili yangu. hongera kwa penzi la dhati big up
 
Jmn nani huyo kapata mtoto
Unajifanya hujui msaada uliotolewa na pm??[emoji30] [emoji30] [emoji30]......Kama siyo pm ni nani angekuwa anakuita shemeji au wifi leo hii?[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Unajifanya hujui msaada uliotolewa na pm??[emoji30] [emoji30] [emoji30]......Kama siyo pm ni nani angekuwa anakuita shemeji au wifi leo hii?[emoji32][emoji32][emoji32]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muangalie kubwa zima ovyooo
 
Back
Top Bottom