Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.
Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.
Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Cc: Jovitha
Tunabanana hivy hivyoLakini naskia eti....
(Eti) humu Jf nafasi zilisha jaa...[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Tanteeeeeee isha mashauziii[emoji108] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Happy birthday to her
Ahsante [emoji120]Happy birthday Jovitha
Naona ushsnionea wivuuNatamani huu utunzi ungeimbwa wa ajili yangu. hongera kwa penzi la dhati big up
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] heee!!!?Tanteeeeeee isha mashauziii[emoji108] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] heee!!!?
Naona ushsnionea wivuu
AhsanteeeHaswaaa sio kwa utunzi huo murua aiseee hongera na Jovitha wake
Sante sana! sante sana!Sifa na utukufu ziende pm kwa kukuwezesha kupata mtoto mzuri![emoji1][emoji1][emoji1]
Wapo watunz huku mkuuNatamani huu utunzi ungeimbwa wa ajili yangu. hongera kwa penzi la dhati big up
Zimemfikia mkuuHappy birthday to her
Unajifanya hujui msaada uliotolewa na pm??[emoji30] [emoji30] [emoji30]......Kama siyo pm ni nani angekuwa anakuita shemeji au wifi leo hii?[emoji32][emoji32][emoji32]Jmn nani huyo kapata mtoto
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji108]ππππ±π±π±π±
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muangalie kubwa zima ovyoooUnajifanya hujui msaada uliotolewa na pm??[emoji30] [emoji30] [emoji30]......Kama siyo pm ni nani angekuwa anakuita shemeji au wifi leo hii?[emoji32][emoji32][emoji32]
MhhhhhThank u my love[emoji85]
Wewe waache tu.Siku hizi kuna mchina shauri yako
Ndio maana napapenda kwetu Korea Unni,haya mambo ya chura sijui nini hakuna.Unamcheka unni sio? Si wajua kule kwetu Seoul hivyo vitu hatunaga kabisa
NiniMhhhhh