Happy birthday Juma Kassimu 'Nature' mkongwe wa bongo fleva

Happy birthday Juma Kassimu 'Nature' mkongwe wa bongo fleva

Ukitaka kujua watu wanachuki binafsi kwa mond, yeye tu ndiye uwa analaumiwa kusupport ccm huwezi kuta wale wanaonlaumu mond wakisema hilo juu ya nature.
And mond hajawahi vaa nguo za kijani
Happy bday kiroboto...
Ya leo kali
Inaniuma sana
Mzee wa busara
Hili game
Muungano wa ccm na cuf

Jitahidi kufanya uyafuti ndipo uandike 'Mondi hajawahi kuvaa nguo ya kijani'??? Hii ni nyekundu eee
10e015ffb461b7f5c156b781fe85d5e7.jpg
 
...maamae!!


..ila kabla sijasahau,Nature sio kichaa,
.mwanao atakuwa tu amerithi akili zako!

Kuwa na Adabu!

May be Mimba ya Mwisho nimetungisha kabla ya Mama yako hajakatwa utepe mwekundu!
 
Nakumbuka ile verse moja akitoa dongo "Alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda" jamaa alikuwa mbaya sema ndo tatizo la wasanii wetu wakipataga mafanikio wanabweteka hao, huyu angeamua kukaza angekuwa mbali sana
 
Mmoja kati ya waburudishaji bora kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava.....
 
Kuwa na Adabu!

May be Mimba ya Mwisho nimetungisha kabla ya Mama yako hajakatwa utepe mwekundu!
...kwahiyo adabu ni kumrithisha mwanao utaahira wako kisha kutukana watoto wa watu vichaa,sio?
.wanakupekecha pa kunyea we mzee,sio bure!
 
HIyo tshirt aliyovaa imenikata mood, nimeghairi kusema "happy birthday"
 
Back
Top Bottom