Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 793
Ukitaka kujua watu wanachuki binafsi kwa mond, yeye tu ndiye uwa analaumiwa kusupport ccm huwezi kuta wale wanaonlaumu mond wakisema hilo juu ya nature.
And mond hajawahi vaa nguo za kijani
Happy bday kiroboto...
Ya leo kali
Inaniuma sana
Mzee wa busara
Hili game
Muungano wa ccm na cuf
Hiyo ni kwenye video siyo kama wasanii wengine uwanjani wapu kwenye mikutano n.k hadi mtaaniJitahidi kufanya uyafuti ndipo uandike 'Mondi hajawahi kuvaa nguo ya kijani'??? Hii ni nyekundu eee
...maamae!!Last born wangu
Alikuwa Form two 2001
...maamae!!
..ila kabla sijasahau,Nature sio kichaa,
.mwanao atakuwa tu amerithi akili zako!
...kwahiyo adabu ni kumrithisha mwanao utaahira wako kisha kutukana watoto wa watu vichaa,sio?Kuwa na Adabu!
May be Mimba ya Mwisho nimetungisha kabla ya Mama yako hajakatwa utepe mwekundu!